Kwa vijana wanaotaka kujiunga na vyuo vya Mafunzo ya Amali Kwa mwaka 2025, tunawashauri wafike katika Banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali, Kisonge katika Maonesho ya Wiki ya Usalama Barabarani.
November 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Bakari Ali Silima leo Jumamosi ya Tarehe 09.11.2024, Ameshiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Mashirika ya Umma 2024, Yaliofanyika katika Viwanja vya Mapinduzi Square (Kisonge) yenye kauli mbiu” *Uwepo wa Mashirika ya Umma ni kichocheo cha Maendeleo ya Uchumi”