News:

Mahafali ya 13 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni.
MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI YAHITIMISHA MFULULIZO WA MAHAFALI YA MMA ZANZIBAR. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar leo tarehe 12 Juni 2026 imehitimisha rasmi mfululizo wa mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025 yaliyokuwa yakifanyika kuanzia tarehe 8 Juni 2026 katika vyuo vyake vya Unguja na Pemba, kwa kufanya Mahafali

Mahafali ya Tatu(3) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi.
MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MAKUNDUCHI YAFANYIKA UNGUJA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) kupitia Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi leo imefanya Mahafali ya Tatu ya wahitimu wa mwaka 2025 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, Mkoa wa Kusini Unguja. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu

Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe.
MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MWANAKWEREKWE YAFANYIKA ZANZIBAR. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar inaendelea na mfululizo wa mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025, ambapo leo tarehe 10 Juni 2026, Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe kimefanya Mahafali yake ya 12 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, kilichopo, Mkoa wa Mjini

Mahafali ya 12 Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji.
MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI VITONGOJI YAFANYIKA PEMBA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, leo tarehe 9 Juni 2026 imefanya Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa wahitimu wa mwaka 2025. Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, Mkoa wa Kusini Pemba.

Mahafali ya Nne (4) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya.
MAHAFALI YA NNE YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI DAYA YAFANYIKA PEMBA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) leo tarehe 8 Juni 2026 imeanza rasmi mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025 kwa kufanya Mahafali ya Nne ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya yaliyofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Hafla hiyo ilihudhuriwa na

Ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Khadija Salum Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu Utawala Ndg. Amos John Henock
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Mafunzo ya Amali Zanzibar Aitaka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Kuongeza Kasi ya Ubunifu na Uwajibikaji. Zanzibar, 4 Februari 2026Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA), Dkt. Bakari Ali Silima, leo amepokea ugeni kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ulioongozwa na Naibu