Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Mafunzo ya Amali Zanzibar Aitaka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Kuongeza Kasi ya Ubunifu na Uwajibikaji. Zanzibar, 4 Februari 2026Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA), Dkt. Bakari Ali Silima, leo amepokea ugeni kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ulioongozwa na Naibu …

Ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Khadija Salum Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu Utawala Ndg. Amos John Henock Read More ยป