The Revolutionary Government of Zanzibar
VOCATIONAL TRAINING AUTHORITY

news

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Ndugu Soud Said Ali Amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi ZEEA Ipo tayari kuwapatia Mikopo wahitimu wa Mafunzo ya Amali ambao wameunda vikundi vya kujiajiri katika kutekeleza taaaluma zao. Aliyasema hayo …

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Read More »

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji Rashid Ali Salim Amesema Serikali itaendeleza miradi iliyoibuliwa na wanafuzi wa Mafunzo wa Amali kwani inaleta tija maslahi ya taifa na ndio chachu ya Maendeleo. Ameyasema hayo wakati akiwatunuku vyeti wanafunzi waliohitimu Mafunzo ya Amali …

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Read More »

Mahafali ya Kumi na Mbili(12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatoa fursa kwa vijana ambao wamehitimu Mafunzo ya Amali kwa kuwapa vipaumbele katika Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Serikali kwa kutumia utaalamu wao waliopata katika kuleta Maendeleo ya nchi. Ameyasema hayo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali …

Mahafali ya Kumi na Mbili (12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Read More »

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imeweka kipaumbele katika kuwapatia vijana wake Elimu na Stadi za kazi zitakazowajengea misingi imara na bora ya maisha yao kupitia Mafunzo ya Ameyasema hayo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar …

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Read More »

  Vitongoji Pemba -28 Julia 2025 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadidi Rashidi Amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuweka vipaumbele kujenga na kuimarisha vituo vya Mafunzo ya Amali ili kutoa fursa kwa vijana kupata Mafunzo ya Amali na kuweza kujitegemea . Akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kumi na moja …

Mahafali ya kumi na moja (11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji. Read More »

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Dkt Bakari Ali Silima Akiwa na BwanaArturo Vittori ambae ni Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la warka Water Foundation, wakisaini hati ya Maelewano (Mou) yenye lengo la Mashirikiano ya kuwawezesha vijana katika kuwapatia ujuzi, utaalamu wa vitendo na kuhifandhi urithi wa kiutamadunu na kiikolojia wa Zanzibar. …

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Dkt Bakari Ali Silima Akiwa na Bwana Arturo Vittori ambae ni Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la warka Water Foundation, wakisaini hati ya Maelewano (Mou) yenye lengo la Mashirikiano ya kuwawezesha vijana katika kuwapatia ujuzi, utaalamu wa vitendo na kuhifandhi urithi wa kiutamadunu na kiikolojia wa Zanzibar. Read More »

Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Bakari Ali Silima akitoa maelezo katika warsha ya kazi ya kufanya tathmini kwa mafundi wazoefu (RPL), warsha ambayo ilifanyika leo tarehe 19/01/2025 katika chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa iliowashirikisha walimu katika fani nane, fani ya Magari, Upishi, Uchoraji na mapambo, Uashi,Ushoni, Elektroniki, Welding na Umeme. ambapo pamoja na kuifungua warsha …

Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Bakari Ali Silima akitoa maelezo katika warsha ya kazi ya kufanya tathmini kwa mafundi wazoefu (RPL), warsha ambayo ilifanyika leo tarehe 19/01/2025 katika chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa iliowashirikisha walimu katika fani nane Read More »

Scroll to Top