The Revolutionary Government of Zanzibar
VOCATIONAL TRAINING AUTHORITY

News:

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi.

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Ndugu Soud Said Ali Amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi ZEEA Ipo tayari kuwapatia Mikopo wahitimu wa Mafunzo ya Amali ambao wameunda vikundi vya kujiajiri katika kutekeleza taaaluma zao. Aliyasema hayo

Read More »

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe.

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji Rashid Ali Salim Amesema Serikali itaendeleza miradi iliyoibuliwa na wanafuzi wa Mafunzo wa Amali kwani inaleta tija maslahi ya taifa na ndio chachu ya Maendeleo. Ameyasema hayo wakati akiwatunuku vyeti wanafunzi waliohitimu Mafunzo ya Amali

Read More »

Mahafali ya Kumi na Mbili (12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni.

Mahafali ya Kumi na Mbili(12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatoa fursa kwa vijana ambao wamehitimu Mafunzo ya Amali kwa kuwapa vipaumbele katika Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Serikali kwa kutumia utaalamu wao waliopata katika kuleta Maendeleo ya nchi. Ameyasema hayo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Read More »

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya.

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imeweka kipaumbele katika kuwapatia vijana wake Elimu na Stadi za kazi zitakazowajengea misingi imara na bora ya maisha yao kupitia Mafunzo ya Ameyasema hayo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Read More »

Mahafali ya kumi na moja (11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji.

  Vitongoji Pemba -28 Julia 2025 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadidi Rashidi Amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuweka vipaumbele kujenga na kuimarisha vituo vya Mafunzo ya Amali ili kutoa fursa kwa vijana kupata Mafunzo ya Amali na kuweza kujitegemea . Akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kumi na moja

Read More »
Scroll to Top