News:

Mahafali ya kumi na moja (11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji.
Vitongoji Pemba -28 Julia 2025 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadidi Rashidi Amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuweka vipaumbele kujenga na kuimarisha vituo vya Mafunzo ya Amali ili kutoa fursa kwa vijana kupata Mafunzo ya Amali na kuweza kujitegemea . Akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kumi na moja
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Dkt Bakari Ali Silima Akiwa na Bwana Arturo Vittori ambae ni Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la warka Water Foundation, wakisaini hati ya Maelewano (Mou) yenye lengo la Mashirikiano ya kuwawezesha vijana katika kuwapatia ujuzi, utaalamu wa vitendo na kuhifandhi urithi wa kiutamadunu na kiikolojia wa Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Dkt Bakari Ali Silima Akiwa na BwanaArturo Vittori ambae ni Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la warka Water Foundation, wakisaini hati ya Maelewano (Mou) yenye lengo la Mashirikiano ya kuwawezesha vijana katika kuwapatia ujuzi, utaalamu wa vitendo na kuhifandhi urithi wa kiutamadunu na kiikolojia wa Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Bakari Ali Silima akitoa maelezo katika warsha ya kazi ya kufanya tathmini kwa mafundi wazoefu (RPL), warsha ambayo ilifanyika leo tarehe 19/01/2025 katika chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa iliowashirikisha walimu katika fani nane
Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Bakari Ali Silima akitoa maelezo katika warsha ya kazi ya kufanya tathmini kwa mafundi wazoefu (RPL), warsha ambayo ilifanyika leo tarehe 19/01/2025 katika chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa iliowashirikisha walimu katika fani nane, fani ya Magari, Upishi, Uchoraji na mapambo, Uashi,Ushoni, Elektroniki, Welding na Umeme. ambapo pamoja na kuifungua warsha