The Revolutionary Government of Zanzibar
VOCATIONAL TRAINING AUTHORITY

June 2026

MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MAKUNDUCHI YAFANYIKA UNGUJA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) kupitia Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi leo imefanya Mahafali ya Tatu ya wahitimu wa mwaka 2025 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, Mkoa wa Kusini Unguja. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu …

Mahafali ya Tatu(3) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Read More »

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MWANAKWEREKWE YAFANYIKA ZANZIBAR. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar inaendelea na mfululizo wa mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025, ambapo leo tarehe 10 Juni 2026, Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe kimefanya Mahafali yake ya 12 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, kilichopo, Mkoa wa Mjini …

Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Read More »

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI VITONGOJI YAFANYIKA PEMBA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, leo tarehe 9 Juni 2026 imefanya Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa wahitimu wa mwaka 2025. Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, Mkoa wa Kusini Pemba. …

Mahafali ya 12 Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji. Read More »

MAHAFALI YA NNE YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI DAYA YAFANYIKA PEMBA   Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) leo tarehe 8 Juni 2026 imeanza rasmi mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025 kwa kufanya Mahafali ya Nne ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya yaliyofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Hafla hiyo ilihudhuriwa na …

Mahafali ya Nne (4) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Read More »

Scroll to Top