MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI YAHITIMISHA MFULULIZO WA MAHAFALI YA MMA ZANZIBAR. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar leo tarehe 12 Juni 2026 imehitimisha rasmi mfululizo wa mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025 yaliyokuwa yakifanyika kuanzia tarehe 8 Juni 2026 katika vyuo vyake vya Unguja na Pemba, kwa kufanya Mahafali …
Mahafali ya 13 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Read More »









