The Revolutionary Government of Zanzibar
VOCATIONAL TRAINING AUTHORITY

news

MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MAKUNDUCHI YAFANYIKA UNGUJA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) kupitia Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi leo imefanya Mahafali ya Tatu ya wahitimu wa mwaka 2025 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, Mkoa wa Kusini Unguja. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu …

Mahafali ya Tatu(3) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Read More »

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MWANAKWEREKWE YAFANYIKA ZANZIBAR. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar inaendelea na mfululizo wa mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025, ambapo leo tarehe 10 Juni 2026, Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe kimefanya Mahafali yake ya 12 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, kilichopo, Mkoa wa Mjini …

Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Read More »

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI VITONGOJI YAFANYIKA PEMBA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, leo tarehe 9 Juni 2026 imefanya Mahafali ya 12 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji kwa wahitimu wa mwaka 2025. Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, Mkoa wa Kusini Pemba. …

Mahafali ya 12 Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji. Read More »

MAHAFALI YA NNE YA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI DAYA YAFANYIKA PEMBA   Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (MMA) leo tarehe 8 Juni 2026 imeanza rasmi mahafali ya wahitimu wa mwaka 2025 kwa kufanya Mahafali ya Nne ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya yaliyofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Hafla hiyo ilihudhuriwa na …

Mahafali ya Nne (4) ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Read More »

Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Mafunzo ya Amali Zanzibar Aitaka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Kuongeza Kasi ya Ubunifu na Uwajibikaji. Zanzibar, 4 Februari 2026Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA), Dkt. Bakari Ali Silima, leo amepokea ugeni kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ulioongozwa na Naibu …

Ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Khadija Salum Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu Utawala Ndg. Amos John Henock Read More »

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Ndugu Soud Said Ali Amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi ZEEA Ipo tayari kuwapatia Mikopo wahitimu wa Mafunzo ya Amali ambao wameunda vikundi vya kujiajiri katika kutekeleza taaaluma zao. Aliyasema hayo …

Mahafali ya Pili(2) Chuo cha Mafunzo ya Amali Makunduchi. Read More »

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji Rashid Ali Salim Amesema Serikali itaendeleza miradi iliyoibuliwa na wanafuzi wa Mafunzo wa Amali kwani inaleta tija maslahi ya taifa na ndio chachu ya Maendeleo. Ameyasema hayo wakati akiwatunuku vyeti wanafunzi waliohitimu Mafunzo ya Amali …

Mahafali ya Kumi na Moja(11) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Read More »

Mahafali ya Kumi na Mbili(12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatoa fursa kwa vijana ambao wamehitimu Mafunzo ya Amali kwa kuwapa vipaumbele katika Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Serikali kwa kutumia utaalamu wao waliopata katika kuleta Maendeleo ya nchi. Ameyasema hayo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali …

Mahafali ya Kumi na Mbili (12) Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni. Read More »

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imeweka kipaumbele katika kuwapatia vijana wake Elimu na Stadi za kazi zitakazowajengea misingi imara na bora ya maisha yao kupitia Mafunzo ya Ameyasema hayo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar …

Mahafali ya Tatu (3) Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya. Read More »

Scroll to Top