MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI YAANDAA KIKAO MAALUM CHA WATAALAM KUPATA AINA ZA VIFAA VYA KARAKANA NA SIFA ZAKE KWA AJILI YA VYUO VIPYA VITANO VYA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR Zanzibar, Jumanne, 17 Juni 2025 – Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar kupitia Mradi wa Skills Development for Youth Employability in the Blue Economy Project …
MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2025 YAFANA ZANZIBAR – MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI YANG’ARA KATIKA MAONESHO Kizimkazi, Zanzibar – Alhamisi, Mei 1, 2025: Zanzibar leo imeadhimisha kwa mafanikio makubwa Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, katika viwanja vya Kizimkazi Dimbanii. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC), yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali, …
ZANZIBAR YAZINDUA ZANZIBAR STARTUP ASSOCIATION KWA AJILI YA KUIBUA UBUNIFU WA VIJANA. Zanzibar, 17 Aprili 2025 – Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, Dkt. Bakari Ali Silima, amemuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Khamis Abdulla Said, katika hafla ya uzinduzi wa taasisi mpya isiyo ya …
Zanzibar yazindua ZANZIBAR STARTUP ASSOCIATION kwa ajili ya kuibua ubunifu wa vijana. Read More »
Mafundi 224 Watunukiwa Vyeti vya Utambuzi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mheshimiwa Lela Mohamed Mussa, amewatunuku vyeti mafundi wazoefu 224 waliopitia mfumo wa kujifunza nje ya mafunzo rasmi. Hafla hiyo imefanyika, Machi 19, 2025, katika Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, Pemba. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Waziri Lela amewapongeza mafundi hao kwa …
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar YashirikiMaadhimisho ya Miaka 30 ya VETA. Dar es Salaam, 18 Machi 2025 – Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar imeshiriki katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) tangu kuanzishwa kwake. Maadhimisho haya yamefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hayati Julius Kambarage …
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Yashiriki Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA. Read More »